Mtumiaji:Denis John5/Mhemko hasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mhemko hasi katika saikolojia ya mbinu za kujilinda na kudhibiti, ni kitendo kinachochukuliwa kuwa kibaya au kisicho cha kijamii.[1]Kwa ujumla kitendo hiki huchukuliwa ni cha uhalifu kwa mtu binafsi na kwa wanaomzunguka. Neno hili hutumiwa kwa njia hii katika uraibu wa ngono, matibabu ya kisaikolojia, uhalifu na malezi. Kinyume chake huchukuliwa kama mtazamo au tabia tofauti ya kuweza kujidhibiti na msukumo hasi, kitendo hicho hujulikana kama mhemmko chanya.

Kitendo kinachofanywa kufuata msukumo wa uraibu (k.m. ulevi, utumiaji wa madawa ya kulevya au wizi). Pia inaweza ikawa njia iliyotengenezwa (Mara nyingi bila ufahamu au ufahamu mdogo) ili kutafuta umakini (k.m. kuwa na hasira kali au kufanya uasherati). Muhemko hasi unaweza kuzuia maendeleo wa majibu kwa kujenga zaidi kwa hisia husika.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kasik, Maribeth Montgomery (2008-07-15), Reynolds, Cecil R.; Fletcher-Janzen, Elaine, wahariri, "Acting Out", Encyclopedia of Special Education (kwa Kiingereza) (John Wiley & Sons, Inc.): speced0039, ISBN 978-0-470-37369-9, doi:10.1002/9780470373699.speced0039, iliwekwa mnamo 2022-11-26