Mtumiaji:Abdul Millanzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jina Kamili, Abdul Uledi Millanzi

Alizaliwa Tarehe 11 Oktoba 1990 katika Wilaya ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara.

Alipata Elimu ya Msingi katika Shule ya msingi Mangaka Mwaka 1998 hadi 2004

Alihitimu Elimu ya Sekondari Mwaka 2008 katika Shule ya Pugu Jijini Dar es Salaam