Sangha (mto)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mto Sangha)
Mto Sangha mwaka 2010.

Mto Sangha ni tawimto la mto Kongo katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, Kamerun na Jamhuri ya Kongo.

Urefu wake ni km 1100 hivi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sangha (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.