Nenda kwa yaliyomo

Mto Potomac

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto wa Potomac
Beseni ya Potomac
Chanzo mpakani wa wilaya za Tucker na Preston katika jimbo la West Virginia kwenye 39°11′43″N na 79°29′28″W
Mdomo Atlantiki kwenye hori ya Chesapeake
Nchi Marekani, majimbo ya Maryland, Virginia, District of Columbia, West Virginia
Urefu 665 km
Kimo cha chanzo 933 m
Mkondo 78 hadi 3,963 m³/s
Eneo la beseni 38,000 km²
Idadi ya watu wanaokalia beseni milioni 5
Miji mikubwa kando lake Washington, D.C.
Mto Potomac

Mto Potomac unapatikana mashariki mwa Marekani. Chanzo kiko katika jimbo la West Virginia inaishia katika hori ya Chesapeake kwenye bahari ya Atlantiki.

Una mwendo wa km 665 na beseni la km² 38,000.

Mto unapita Washington D.C., mji mkuu wa Marekani.

Wahispania walikuwa Wazungu wa kwanza kuutembelea mwaka 1570 hivi. Mnamo 1608, mto huo ulielezwa na kuchorwa na Kapteni John Smith. Kisha wafanyabiashara kutoka Virginia walianza kukaa huko.

Maelezo[hariri | hariri chanzo]


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: