Mto Ogunpa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Ogunpa

Mto Ogunpa ni mto uliopo Nigeria.

Chanzo kipo ndani ya jiji la Ibadan unapopita. Njia yake ina urefu wa kilomita 21.5.

Kuna hatari ya mafuriko: mwaka 2011 mnamo Agosti watu takribani mia moja walikufa.[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nigeria: Ibadan Still Trembles From Shocking Ocean-Wave Like Flood Disaster, taarifa za allafrica.com, tarehe 4.09.2011, iliangaliwa Februari 2020
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Ogunpa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.