Mto Kibarazi
Mandhari
Mto Kibarazi ni jina la mito miwili inayopatikana kusini mwa Burundi (mkoa wa Bururi).
Mmojawapo, maji yanafikia ziwa Tanganyika. Baadaye, maji yanakwenda kuchangia mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.
Mwingine, maji yake huelekea mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Kibarazi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |