Mto Gahama (Ruyigi)
Mandhari
Mto Gahama (Ruyigi) ni jina la makorongo mawili yanayopatikana katika mkoa wa Ruyigi (mashariki mwa Burundi).
Maji ya mojawapo huelekea Ziwa Nyanza, Mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati, kumbe ya lingine huelekea ziwa Tanganyika, mto Kongo na hatimaye bahari ya Atlantiki.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Gahama (Ruyigi) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |