Mto Berg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Berg (pia unaitwa Mto Berg Mkuu au kwa Kiafrikaans: Bergrivier) ni mto uliopo kaskazini mwa Cape Town ndani ya jimbo la Rasi ya Magharibi ya Afrika Kusini.

Mto una takribani km 294 kwa urefu lenye eneo la chanzo lenye ukubwa wa km² 7,715 na mto unatiririka kwenda Bahari ya Atlantiki.

Takribani % 65 za eneo la Mto Berg linatumika kwa kilimo.

Miji mikubwa katika eneo la Mto Berg ni Velddrif na Laaiplek karibu na ukanda wa pwani, Piketberg, Hopefield, Moorreesburg na Darling kwa ukanda wa ndani  wa ardhi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

SouthAfricanStub.png Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Berg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.