Nenda kwa yaliyomo

Mtefi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtefi
(Eragrostis tef)
Mitefi
Mitefi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja tu)
(bila tabaka): Commelinids (Mimea kama kongwe)
Oda: Poales (Mimea kama manyasi)
Familia: Poaceae (Manyasi)
Jenasi: Eragrostis
Wolf
Spishi: E. tef
(Zucc.) Trotter

Mtefi ni aina ya nafaka ulio na asili yake katika milima ya Uhabeshi. Sikuhizi hupandwa sana katika Uhabeshi na Eritrea na kidogo katika Uhindi na Australia. Mbegu zake zinaitwa matefi na hutumika kwa kutengeneza injera.