Motorola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Motorola MP220

Motorola ni kampuni ya simu ya Marekani iliyoanzishwa tarehe 25 Septemba mwaka 1928.

Baada ya kampuni kupata hasara ya dola bilioni 4.3 kuanzia mwaka 2007 hadi 2009, kampuni hiyo ilijigawanya na kuwa makampuni mawili ambayo ni: Motorola Mobility na Motorola Solution tarehe 4 Januari 2011.

Hivi sasa simu za Motorola hazipatikani kwa wingi kwa sababu haziendani na matakwa ya watu wa kizazi hiki.

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Motorola kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.