Mohamed Rouicha
Mohamed Rouicha | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Mohamed Rouicha |
Alizaliwa | 1950,Khenifra Moroko |
Alikufa | 2012 Khenifra Moroko |
Nchi | Moroko |
Kazi yake | Mwanamuziki |
Mohamed Rouicha (Kiarabu: محمد رويشة; 1950 - 17 Januari 2012) alikuwa mwimbaji wa Morocco.[1] [2]Nyimbo zake mara nyingi huwa na mada kama vile mapenzi na maisha nchini Moroko. [3] Nyimbo zake maarufu zaidi ni Ya lehbiba, bini w'binek darou lehdouden na Inas inas.[4]
Alikuwa msanii maarufu wa Amazigh, mshairi, mwimbaji, mtunzi na mwanamuziki.Rouicha" lilikuwa jina la utani ambalo lilimaanisha "tuchanganyie kitu" kwa ki Tamazight, ambao ulikuwa ni msemo marafiki zake walikuwa wakiusema wanapotaka ajiunge na kucheza wimbo mpya papo hapo. Alijua chombo cha "loutar".
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Staff Writer-Morocco World News. Video: Hamza Namira Sings Moroccan Rouicha's Inas Inas (en). https://www.moroccoworldnews.com/. Iliwekwa mnamo 2022-04-30.
- ↑ Festival Fès 2004. web.archive.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-10-24. Iliwekwa mnamo 2022-04-30.
- ↑ Le chanteur amazigh Mohamed Rouicha est mort | Demain. web.archive.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-01-19. Iliwekwa mnamo 2022-04-30.
- ↑ "Mohamed Rouicha", Wikipedia (in English), 2022-02-28, retrieved 2022-04-30