Nenda kwa yaliyomo

Mnarani, Tanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Magofu ya Mnarani ni magofu ya Waswahili yaliyoko Mkoa wa Tanga, Tanzania.

Sehemu hiyo ni ya Zama za Kati lakini haijachimbuliwa. [1]

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. James de Vere Allen. “Swahili Culture and the Nature of East Coast Settlement.” The International Journal of African Historical Studies, vol. 14, no. 2, Boston University African Studies Center, 1981, pp. 306–34, https://doi.org/10.2307/218047.