Nenda kwa yaliyomo

Mnara wa taa wa Ras Nungwi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnara wa taa wa Ras Nungwi

Mnara wa taa wa Ras Nungwi ni mnara wa taa ambao (unajulikana kama Hog Point) upo katika ncha ya kaskazini mwa kisiwa cha Unguja huko Nungwi, Zanzibar, Tanzania. Ni mnara wa taa wa zamani zaidi kwenye kisiwa hicho pia ni mnara wa mawe wa ghorofa tatu uliopakwa rangi nyeupe[1].

Mnara huo ulijengwa mara ya kwanza mnamo mwaka 1881 ukiwa na urefu wa mita 14. Mwanga wake uanonekana kwa umbali wa kilomita 24[2].

  1. Tanzania The Lighthouse Directory. University of North Carolina at Chapel Hill. Retrieved April 18, 2016
  2. List of Lights, Pub. 112: Western Pacific and Indian Oceans Including the Persian Gulf and Red Sea (PDF), List of Lights. United States National Geospatial-Intelligence Agency. 2015