Nenda kwa yaliyomo

Mnara wa taa wa Cap Rosa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mnara wa taa wa Cap Rosa ni mnara wa taa unaopatikana karibu na El Kala, Wilaya ya Annaba nchini Algeria. Ulijengwa mnamo mwaka 1869. Kila baada ya sekunde 6 unawasha taa mbili nyeupe. Mnara huo una urefu wa mita 13, uliopakwa rangi nyeupe[1].Upo kwenye rasi ndogo takribani kilomita 25 upande wa magharibi wa El Kala.[2].

  1. Lighthouses of Eastern Algeria, "Cape Rosa", tovuti ya ibiblio. morg
  2. Phare de Cap Rosa, tovuti ya Office National de Signalisation Maritime, Aljeria
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Cap Rosa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.