Mlima Ombigaichen
Mandhari
Mlima Ombigaichen unapatikana katika safu ya milima ya Himalaya, Mashariki mwa nchi ya Nepal, katika mkoa wa Mahalangur Solukhumbu, huku kilele chake kikiwa na urefu wa mita 6,340 juu ya usawa wa bahari ukipatikana [1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mt.Ombigaichen Peak Climbing in nepal, Ombigaichen Peak nepal". www.nepalfctrekking.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-06. Iliwekwa mnamo 2020-03-05.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Ombigaichen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |