Mlima Nyang´oro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlima Nyang'oro ni mlima ambao unapatikana kati ya Nyang'oro na Izazi mkoani Iringa kuelekea Jijini Dodoma, kwenye barabara yenye kona nyingi na kali yaani mithili ya "s".

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Nyang´oro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.