Mlima Guna
Mandhari
Mlima Guna ni mlima wa volikano unaopatikana karibu na miji wa Nefas Mewcha na Debre Tabor kaskazini mwa ukanda wa Amhara, Ethiopia. Ni mlima mrefu zaidi katika ukanda wa Gondar, wenye urefu wa futi 4120 juu ya usawa wa bahari.
Mlima Guna unatengeneza mirefeji ya maji ya bonde la mto Abay na mto Tekezé. Ni chanzo cha Gumara, Rib na mito mingine inayotiririka kwenda katika ziwa Tana na Yikalo, Mebela, Goleye na mito mingine inayotiririka katika ziwa Tekezé. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.peakbagger.com/peak.aspx?pid=11120 "Guna Terara, Ethiopia"
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Guna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |