Mlima Gessi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Gessi katika Safu ya Milima ya Ruwenzori

Mlima Gessi uko katika safu ya milima ya Ruwenzori, kwenye mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda (Afrika).

Mlima huo ulipata jina lake kutoka kwa Mwitalia Romolo Gessi (1831 - 1881) aliyekuwa mtafiti wa chanzo cha mto Nile.[1][2]

Kilele cha juu cha Mlima Gessi ni Lolanda (mita 4,715 juu ya usawa wa bahari), halafu Bottego (mita 4699).[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Climbing Mount Gessi (en-US). Rwenzori Mountains. Iliwekwa mnamo 2019-06-02.
  2. 2.0 2.1 Mount Gessi | Rwenzori Mountaineering Service (en-US). Iliwekwa mnamo 2019-06-02.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Merriam-Webster's Geographical Dictionary, Third Edition. Springfield, Massachusetts: Merriam-Webster, Incorporat]]ed, 1997. ISBN 0-87779-546-0.