Mlima Gabal Tingar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Gabal Tingar

Mlima Gabal Tingar ni mlima mdogo huko Misri, uliotumiwa kama machimbo ya granodiorite nyakati za zamani. Uchimbaji huo ulitumika tangu wakati wa Ufalme mpya kupitia kipindi cha utawala wa Warumi huko Misri, ingawa kazi ambazo zinaonekana zilikuwa za ujenzi wa monasteri.

Mlima Gabal Tingar unapatikana kwenye ukingo wa magharibi wa Mto Nile, magharibi mwa Elephantine, karibu na Aswan. Inafikiriwa kuwa chanzo ni cha jiwe ambalo lilitumiwa kuunda [[mawe] ambayo Jiwe la Rosetta lilitoka.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Gabal Tingar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.