Mlandanisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa mlandanisho.

Katika utarakilishi, mlandanisho (kwa Kiingereza: Synchronization) unahusu vitu viwili: mlandanisho wa michakato na mlandanisho wa data.

  1. Mlandanisho wa michakato ni michakato mingi inapoungana ili kufanya kitendo kimoja.
  2. Mlandanisho wa data ni kuzinakili na kuzibandika data katika vifaa vya kutunzia vingi kama wingu (mtandao) au diski kuu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).