Wingu (mtandao)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mchoro wa wingu wa utarakilishi.

Katika utarakilishi, Wingu au Wingu wa utarakilishi (kwa Kiingereza: Cloud au Cloud computing) ni kituo cha data kinachotumika ili kukusanya data za watumiaji wengi.

Unaitwa "Wingu" kwa sababu data hazitunzwi katika kifaa cha kutunzia binafsi cha watumiaji.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).