Mkwajumbele
Katika uchapaji, mkwajumbele "/" (kwa Kiingereza: slash) ni alama ya kituo inayotumika ili kuwakilisha mgawanyiko au kitenganishi tarehe.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).