Nenda kwa yaliyomo

Mkuki na Nyota

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkuki na Nyota Publishers Ltd (MNP) ni kampuni ya uchapishaji wa vitabu iliyoanzishwa mwaka 1990,[1] kwa ajili ya kuchapisha vitabu vya aina mbalimbali, vikiwemo vile vya watoto, fasihi, biashara, utafiti na vile vya elimu.

Mkuki na Nyota huchapisha vitabu katika lugha za Kiswahili na Kiingereza na pia hutafsiri vitabu kutoka katika lugha nyingine ikiwemo Kifaransa.[2]

  1. http://www.mkukinanyota.com/about/
  2. "Le Petit Prince, Mwana Mdogo Wa Mfalme". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Februari 2013. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2012. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkuki na Nyota kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.