Mkoa wa Vizcaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mkoa wa Vizcaya

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Hispania Hispania
Eneo País Vasco
Mji mkuu Bilbao
Eneo
 - Mkoa 2,217 km²
Tovuti: http://www.bizkaia.net/

Vizcaya au (Kieuskara) Bizkaia ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,152,658. Mji wake mkuu ni Bilbao.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Flag of Spain.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Vizcaya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.