Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Segovia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Segovia
Mahali pa Mkoa wa Segovia katika Hispania
Mahali pa Mkoa wa Segovia katika Hispania
Mahali pa Mkoa wa Segovia katika Hispania

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Hispania Hispania
Eneo Castilla na León
Mji mkuu Segovia
Eneo
 - Jumla 6,796 km²
Tovuti:  http://www.dipsegovia.es/

Segovia ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania. Idadi ya wakazi wake ni takriban 164,854. Mji wake mkuu ni Segovia.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Segovia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.