Mkoa wa Sinai Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sehemu ya Mkoa wa Sinai Kusini
Mkoa wa Sinai Kusini
جنوب سيناء‎

Bendera
Mahali pa Mkoa wa Sinai Kusini katika Misri
Mahali pa Mkoa wa Sinai Kusini katika Misri
Majiranukta: 28°14′N 33°37′E / 28.233°N 33.617°E / 28.233; 33.617
Nchi Misri
mji mkuu Tor
Eneo
 - Mkoa 33,140 km²
Idadi ya wakazi (2006)
 - 149,335
Tovuti: http://www.southsinai.gov.eg/

Mkoa wa Sinai Kusini (Kiarabu: جنوب سيناء‎) ni mkoa moja Misri. Idadi ya wakazi wake ni takriban 149,335. Mji mkuu ni Tor.


Flag-map of Egypt.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sinai Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.