Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Matruh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mkoa wa Matruh (Kiarabu: مطروح‎) ni mkoa moja Misri. Idadi ya wakazi wake ni takriban 322,341. Mji mkuu ni Marsa Matruh.


Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Matruh kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.