Mkoa wa Bahari ya Shamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mkoa wa Bahari ya Shamu
البحر الأحمر‎

Bendera
Mahali pa Mkoa wa Bahari ya Shamu katika Misri
Mahali pa Mkoa wa Bahari ya Shamu katika Misri
Majiranukta: 27°15′N 33°48′E / 27.25°N 33.8°E / 27.25; 33.8
Nchi Misri
mji mkuu Hurghada
Eneo
 - Mkoa 203,685 km²
Idadi ya wakazi (2006)
 - 288,233
Tovuti: http://www.redsea.gov.eg/

Mkoa wa Bahari ya Shamu (Kiarabu: البحر الأحمر‎) ni mkoa moja Misri. Idadi ya wakazi wake ni takriban 288,233. Mji mkuu ni Hurghada.


Flag-map of Egypt.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bahari ya Shamu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.