Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Shebelle wa Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkoa wa Shebelle wa Kati (Kisomali: Shabeellaha Dhexe[1], pronunciation ? Kiarabu: شبيلي الوسطى‎, Kiitalia: Medio Scebeli) ni mkoa wa kiutawala (gobol) kusini mwa Somalia.[2]

Malezo ya jumla

[hariri | hariri chanzo]

Umepakana na mikoa kama Galguduud, Hiran, Shabelle wa Chini (Shabellaha Hoose), na Banaadir, pamoja na Bahari ya Somalia.

Kama sehemu ya zamani ya mkoa wa Benadir, Middle Shabelle ulikuwa mji mkuu wa Mogadishu mpaka katikati ya mwaka-1980s, ambapo mji wa Jowhar ulipokuwa mji mkuu. Jina limetokana na mto unaojulikana kwa jina la Mto Shebelle uliokuwa ukipita katika mkoa huu.

Middle Shabelle kimsingi inakaliwa na koo ndogondogo za Wasomali Mudulood; haswa unaojulikana ni Abgaal. Pia  koo ndogo ndogo zinazo kaa katika mkoa huu ni Pamoja na Udeejeen, Moobleen na Hiilebi, ambao wanaishi kando ya Galje'l na Hawadle.[3] Pia kuna wanachama wa kabila zisizo za Kisomalia Bantu kama kundi la (Kaboole).

Mkoa huu unasaidia ufugaji na uzalishaji wa mifugo, mvua na mvuto wa umwagiliaji kilimo na uvuvi, na mvua ya kila mwaka ni 150 hadi 500 milimita ikifunika eneo lenye takriban  kilomita za mraba 60,000. Pia ina 400km pwani ya bahari ya hindi.[4]

Middle Shabelle ina jumla ya wilaya saba:[5]

Miji mikubwa

[hariri | hariri chanzo]
  1. GeoNames Search
  2. "Somalia". The World Factbook. Langley, Virginia: Central Intelligence Agency. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-07-01. Iliwekwa mnamo 6 Desemba 2013. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. [1]
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-12. Iliwekwa mnamo 2019-11-23.
  5. "Somalia: Assessment report on the mechanisms and needs of the population living in Jowhar, Adale, and Adal Yabal, Warsheikh districts of Middle Shabelle region - Somalia". ReliefWeb (kwa Kiingereza). 19 Juni 2008. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Shebelle wa Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.