Nenda kwa yaliyomo

Banaadir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
.

Banaadir (Kwa Kisomali; Kiarabu: بنادر‎, English: Benadir) ni mkoa wa kiutawala uliopo kusini mashariki mwa Somalia. [1]

Mkoa huo una eneo sawa na jiji la Mogadishu ambao ndio mji mkuu wa nchi ya Somalia.

Mkoa huu umepakana kaskazini magharibi na Mto Shebelle na pia kusini mashariki umepakana na Bahari ya Somali. [2].

Mkoa huu una idadi kubwa sana ya watu ikikadiriwa kuwa 1,650,227 mnamo mwaka 2014. [3]

Kihistoria "Pwani ya Benadir" lilitaja sehemu kubwa ya pwani ya kusini ya Somalia kwenye Bahari Hindi, pamoja na Mogadishu, Merka na Barawa.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Somalia". The World Factbook. Langley, Virginia: Central Intelligence Agency. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-07-01. Iliwekwa mnamo 23 Machi 2015. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Eno, Omar A., Mohamed A. Eno, and Dan Van Lehman. "Defining the problem in Somalia: perspectives from the southern minorities." Journal of the Anglo-Somali Society 47 (2010): 19-30.
  3. "Population Estimation Survey 2014 for the 18 Pre-War Regions of Somalia" (PDF). United Nations Population Fund. Iliwekwa mnamo 23 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Banaadir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.