Mkoa wa Hiran

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hiran (Kisomali: Hiiraan‎, Kiarabu: هيران‎) ni moja kati ya mikoa ya kiutawala (gobol) katikati ya Somalia.

Maelezo ya jumla[hariri | hariri chanzo]

Hiran imepakana na mkoa wa Somali wa Ethiopia upande wa kaskazini magharibi, pamoja na mikoa ya Somalia vya mkoa wa Galguduud kaskazini mashariki, Middle Shebelle (Shabeellaha Dhexe) upande wa kusini, Lower Shebelle (Shabellaha Hoose) kwa upande wa kusini magharibi, na Bay na Bakool upande wa magharibi.

Kisio la upana ni wa kilometa mraba 90000. Mto Shebelle unatiririkia Hiran kutokea Ethiopia.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Hiran kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.