Mkoa wa Bay
Mandhari
(Elekezwa kutoka Bay, Somalia)
Bay (Kisomali: Baay, Kiarabu: باي, Kiitalia: Bai) ni mkoa wa kiutawala (gobol) uliopo kusini mwa Somalia.[1]
Maelezo ya jumla
[hariri | hariri chanzo]Umepakana na mikoa mingine ya Somalia ambayo ni Bakool, Hiran, Lower Shebelle (Shabeellaha Hoose), Middle Juba (Jubbada Dhexe), na Gedo.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |