Mkoa wa Bay

From Wikipedia
Jump to navigation Jump to search

Bay (Kisomali: Baay‎, Kiarabu: باي‎, Kiitalia: Bai) ni mkoa wa kiutawala (gobol) uliopo kusini mwa Somalia.[1]

Maelezo ya jumla[edit | edit source]

Umepakana na mikoa mingine ya Somalia ambayo ni Bakool, Hiran, Lower Shebelle (Shabeellaha Hoose), Middle Juba (Jubbada Dhexe), na Gedo.

Tanbihi[edit | edit source]

  1. Somalia. The World Factbook. Central Intelligence Agency. Iliwekwa mnamo 6 December 2013.
Flag-map of Somalia.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.