Bakool
Mandhari
Bakool ni mkoa wa kiutawala (gobol) wa Somalia kusini magharibi. Una eneo la km2 26,962 na wakazi 1,156,400 (2019).
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bakool kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |