Nenda kwa yaliyomo

Cunene (mkoa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Cunene)


Cunene
Mahali paCunene
Mahali paCunene
Mahali pa Mkoa wa Cunene katika Angola
Nchi Angola
Mji mkuu Ondjiva
Eneo
 - Jumla 89,342 km²
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 965 288

Mkoa wa Cunene ni kati ya mikoa kumi na nane ya Angola.

Una wakazi 965,288 kwenye eneo la km² 89,342. Makao makuu ya mkoa yapo Ondjiva.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cunene (mkoa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.