Mkazo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkazo ni nguvu ya ziada inayotumika kutamka silabi au neno moja kuliko nyingine, hasa vokali, lakini pengine konsonanti pia, kwa mfano "m" katika Kiswahili (alimpa).

Katika lugha mbalimbali mkazo unaandikwa kwa alama yake hasa juu ya vokali, kwa mfano: à, è, é, ì, ò, ù.

Masamba na wenzake (2004) wanasema mkazo ni utamkaji wa nguvu zaidi katika sehemu ya neno au katika fungu la maneno.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkazo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.