Miza Bakari Haji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Miza Bakari Haji (amezaliwa 25 Mei 1972) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Civic United Front (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017