Miruko mitatu
Mandhari
Miruko mitatu (kwa Kiingereza: triple jump) ni aina ya riadha ambayo imekuwa sehemu ya Michezo ya Olimpiki tangu mwaka 1896.
Katika mashindano hayo mwanariadha anakimbia hadi mstari fulani halafu anaruka akitua kwa mguu huohuo (hop), kuruka kwa mguu mwingine (skip) na kisha kutua ndani ya shimo la mchanga.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Miruko mitatu kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |