Mina Tanaka
Mandhari
Mina Tanaka (alizaliwa 28 Aprili 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alicheza kama mshambuliaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Japani pamoja na klabu ya INAC Kobe Leonessa inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League. Mina alikua kocha msaidizi wa Nippon TV Beleza na Bayer Leverkusen.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Match Report: Okayoma Yunogo Belle – Nippon TV Beleza" (PDF). Nadeshiko League.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mina Tanaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |