Mike Bamiloye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mike Bamiloye

Mike Abayomi Bamiloye ni mcheza filamu wa Nigeria, mwigizaji, muandaaji na muongozaji wa filamu.
Amezaliwa 13 Aprili 1960
Kazi yake mcheza filamu wa Nigeria

Mike Abayomi Bamiloye (alizaliwa 13 Aprili 1960) ni mcheza filamu wa Nigeria, mwigizaji, muandaaji na muongozaji wa filamu.[1] Ni muasisi na raisi wa asasi ya Mount Zion Faith Ministries[2] na mmiliki wa kituo cha runinga cha Mount Zion Television.

Alikuwa pia mwanachama wa kanisa la Christ Apostolic Church.

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Mike alizaliwa 13 Aprili 1960 huko Ilesa, katika jimbo la Osun nchini Nigeria na kukulia ijebu-Jesa.[3] Alimpoteza mama yake akiwa na umri wa miaka.

Alianza taaluma kama mwanafunzi katika chuo cha ualimu cha Ipetumodu.

Alianzisha Mount Zion mnamo 5 Agosti 1985.[4]

Ameshirikishwa katika filamu na nyimbo nyingi za kidini za nchini Nigeria kwa miaka mingi tofauti. [5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Biography of Mike Bamiloye". Vanguard News. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-12. Iliwekwa mnamo 25 February 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Biography of Mike Bamiloye". New Watch Times. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-12. Iliwekwa mnamo 25 February 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Evangelist Mike Bamiloye warns Nigerians over fraudsters impersonating him". DailyPost Nigeria. Iliwekwa mnamo 25 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Dad is a great cook— Mike Bamiloye’s son". The Punch - Nigeria's Most Widely Read Newspaper. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 February 2015. Iliwekwa mnamo 25 February 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  5. "How we moved from church drama to movies –Bamiloye". Daily Independent, Nigerian Newspaper. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 February 2015. Iliwekwa mnamo 25 February 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mike Bamiloye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.