Nenda kwa yaliyomo

Miharu Kobayashi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Miharu Kobayashi (alizaliwa 12 Oktoba 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa klabu ya Napoli inayoshiriki ligi ya Serie A huko Italia. Miharu alichezea klabu ya Nojima Stella Kanagawa Sagamihara inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League.[1][2]

  1. "Scoresheet" (PDF). weleague.jp.
  2. "Anche Kobayashi per l'esordio a Como, Beretta: "Pronte e cariche"".
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Miharu Kobayashi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.