Michael Sata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Michael Sata

Michael Charles Chilufya Sata (6 Julai 1937 - 28 Oktoba 2014) alikuwa mwanasiasa wa Zambia ambaye alikuwa Rais wa tano wa Zambia, kuanzia tarehe 23 Septemba, 2011 hadi kifo chake tarehe 28 Oktoba 2014.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Sata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.