Mhadjeb
Mandhari
Mhadjeb ni mkate mwembamba unaofanana na chapati unaotokea Algeria.[1]
Mhadjeb ni chakula cha kitamaduni cha Kialgeria, ni mkate mwembamba unaofanana na chapati ulio na mchanganyiko wa vitunguu, vitunguu saumu, nyanya, pilipili na viungo.[1][2]