Merlin (Filamu)
Mandhari
Merlin ni filamu ya kichawi ya Uingereza yenye kufuata mfululizo wa matukio yaliyoulioundwa na Julian Jones, Jake Michie, Julian Murphy, na Johnny Capps. Filamu hii ilitolewa mnamo Agosti 2008 nchini Uingereza na kusambazwa duniani kote, Merlin ni moja kati ya filamu bora za mfululizo duniani muda wote tangu ilipoundwa.
Nyota wa filamu hiyo ni Bradley James kama King Arthur na Colin Morgan kama Merlin. Ilikuwa ikitangazwa kwenye BBC One tangu 20 Septemba 2008 hadi 24 Desemba 2012, filamu hii ina jumla ya sehemu 65.
Wahusika wakuu katika filamu hii ni Colin Morgan kama Merlin,Bradley James kama King Arthur,Angel Coulby kama Guinevere,Katie McGrath kama Morgana, Richard Wilson kama Gaius.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Merlin (Filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |