Nenda kwa yaliyomo

Bradley James

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bradley James

Bradley James katika filamu ya Merlin
Amezaliwa 11 Oktoba 1983
Kazi yake mwigizaji wa Uingereza

Bradley James (alizaliwa 11 Oktoba 1983) ni mwigizaji wa Uingereza aliyeigiza kwa jina la Arthur Pendragon katika mfululizo wa fantasia ya BBC wa Merlin.

Maisha yake binafsi[hariri | hariri chanzo]

Bradley James katika filamu ya Merlin

Bradley James alizaliwa huko Exeter, Devon, Uingereza. Yeye na familia yake walihamia Jacksonville, Florida, huko Marekani akiwa na umri wa miaka tisa. Wakati wake huko, alihudhuria shule ya msingi na kabla ya kurejea England alihudhuria Shule ya Madeley huko Madeley, England.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bradley James kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.