Nenda kwa yaliyomo

Katie McGrath

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Katie McGrath

Katie McGrath
Kazi yake mwigizaji wa filamu wa Ireland

Katie McGrath (hujulikana kama Morgana) ni mwigizaji wa filamu wa Ireland.

Yeye anajulika sana kwa kuigiza vizuri, mfano wa filamu alizoigiza ni: Merlin (2008-2012), Dracula (2013-2014), Stern (2016) na Supergirl (2016).

McGrath alilelewa huko Ashford, Ireland, na wazazi wake: Paul, ambaye anafanya kazi za kutengeneza kompyuta, na Mary, ambaye anafanya kazi ya kupamba maharusi.

Alisoma katika chuo cha Bacca laureate alisomea mambo ya sanaa na kuhitimu katika chuo cha kimataifa cha St. Andrew huko Urusi.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katie McGrath kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.