Nenda kwa yaliyomo

Menara Mall

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
minera mall

Soko la Menara ni moja ya soko kubwa huko Marrakesh - nchini Moroko , lilifunguliwa mwezi Juni mwaka 2015 .[1]. Soko hili lilianzishwa na kikundi cha Pickalbatros, lina jumla ya ukubwa wa eneo la mraba wa mita 50,000. [2], Ni maarufu kwa bustani ya ndani ya watoto inayoitwa kidzo, pamoja na soko ndani ya Hoteli ya Mövenpick na Hoteli ya ResortsMövenpick.