Melanie Leupolz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Leupolz akiichezea Ujerumani mnamo 2023

Melanie Leupolz (alizaliwa 14 Aprili 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Chelsea F.C. ya Ligi Kuu ya Wanawake (WSL).[1][2][3]

Kutokea 2013 hadi 2023, pia alichezea timu ya taifa ya Ujerumani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melanie Leupolz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.