Mbunda Msokile

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mbunda Msokile ni Mtanzania mwandishi wa vitabu vya fasihi ya Kiswahili ambaye aliandika riwaya ya Usiku Utakapokwisha.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbunda Msokile kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.