Mbinga (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mbinga ni mji katika Mkoa wa Ruvuma nchini Tanzania iliyokuwa halmashauri ya pekee kwenye mwaka 2015.

Mji huo una kata 20 na wakazi wake walikadiriwa kuwa 140,747 mnamo mwaka 2015[1].

Mbinga inapitiwa na barabara ya A19 kutoka Songea kwenda Mbamba Bay kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa.

Wenyeji wa Mbinga ni Wamatengo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016,Tanzania Bara, tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wizara ya Fedha na Mipango

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mbinga (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Mbinga Mjini - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Betrehemu | Kagugu | Kihungu | Kikolo | Kilimani (Mbinga) | Kitanda | Luhuwiko | Lusonga | Luwaita | Masumini | Matarawe | Mateka | Mbambi | Mbangamao | Mbinga Mjini A | Mbinga Mjini B | Mkumbi | Mpepai | Myangayanga | Utiri